Update your Cookie Settings to use this feature.
Click 'Allow All' or just activate the 'Targeting Cookies'
By continuing you accept Avaaz's Privacy Policy which explains how your data can be used and how it is secured.
Got it
We use cookies to analyse how visitors use this website and to help us provide you the best possible experience. View our Cookie Policy .
OK
MACHI 17 KILA MWAKA KUWA MAGUFULI DAY: KUMBUKUMBU YA HAYATI JOHN POMBE MAGUFULI

MACHI 17 KILA MWAKA KUWA MAGUFULI DAY: KUMBUKUMBU YA HAYATI JOHN POMBE MAGUFULI

1 have signed. Let's get to
50 Supporters

Close

Complete your signature

,
By continuing you agree to receive Avaaz emails. Our Privacy Policy will protect your data and explains how it can be used. You can unsubscribe at any time. If you are under 13 years of age in the USA or under 16 in the rest of the world, please get consent from a parent or guardian before proceeding.
This petition has been created by Ramadhan H. and may not represent the views of the Avaaz community.
Ramadhan H.
started this petition to
Serikali ya Awamu ya Sita
Katika kulinda Jitihada na Fikra za Hayati Magufuli ili vizazi vya baadae viendelee kumsoma na kumuishi kwa namna alivyowatetea wananchi masikini, Kuinua Uchumi wa Nchi, Maendeleo ya Ghafla, Kuiheshimisha TANZANIA katika Dunia, Kusimamia rasilimali za Taifa, Kuonesha mfano wa uongozi bora Duniani, Kuleta heshima kati ya Tajiri na Masikiri, Kuonesha uthubutu wa maamuzi chanya kwa Taifa, Kutufundisha kuwa TANZANIA sio masikini na inajiweza yenyewe. 
Kupambana na ufisadi, Kutuweka kifua mbele kwenye JANGA la COVID19, Kutoa kauli za kinabii zilizofuatwa na mataifa makubwa duniani. Kuifundisha Tanzania misingi ya UZALENDO wa kweli.
Tuhakikishe vizazi vyetu vinafahamu na Vinaenzi furaha ya miaka 6 tuliyomtumia Mtoto wa CHATO kwa Jina JOHN.

Fanya MACHI 17 iwe MAGUFULI DAY
Posted (Updated )